Kwa wataalam wa lugha ya kiingereza tu ndio wafunue. For english lang. Specialists..

Kwa wataalam wa lugha ya kiingereza tu ndio wafunue. For english lang. Specialists..

Tembea ujionee baba.
Kuna phd holder flani alikuwa anatoa presentation mahali nikavua name tag yangu. Sikutaka ijulikane kirahisi tunawakikisha nchi moja!

Acha ulimbukeni wa lugha. Ndo maana Tanzania tutabaki maskini mpaka mwisho wa dunia. Kingereza ndo nini, wenzetu wazungu wanathamini lugha zao, kwa mfani wajerumani, waitaliao, na wengineo, hawatumiee kingereza na bado wako mbali, sisi tunang'angana na kingereza ambocho pia hatukijui. Kama kweli ulivua tag kwa sababu hiyo basi wewe limbukieni.
 
Hv nikitaka kusema 'nimefiwa na bibi' kwa lugha ya kiingereza nasemaje?

kuna jamaa kaniambia 'i was deaded by grandma'

Zifuatazo zinakubalika (nyingine zilikwishasemwa na wadau hapo juu)

My grandma (grand mother) is dead
My grandma has died
My grandma has passed on
My grandma has passed away
My grandma is no more
I lost my grandma

Slang:

Nana gone
Nana dead
Nana kaput
Nana no more
Nana singing with angels
 
Back
Top Bottom