Kwa wataalamu na wajuzi: Nafasi za maafisa ofisi ya Rais ikulu zinajazajwe?

Kwa wataalamu na wajuzi: Nafasi za maafisa ofisi ya Rais ikulu zinajazajwe?

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Habarini wanajukwaa,

Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie.

Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
 
Unajuwa Utumishi kazi yao ni nini? Unajuwa Tiss wanafanyakazi under cover sehemu zipi?
 
Hao ni maofisa usalama wa taifa wanaochomekwa kwenye nafasi fulani kama viongozi raia kumbe ni kwa mpango maalum
 
Back
Top Bottom