T Tafakari yetu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2021 Posts 1,505 Reaction score 4,427 Jul 22, 2024 #1 Habarini wanajukwaa, Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie. Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
Habarini wanajukwaa, Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie. Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 22, 2024 #2 Unajuwa Utumishi kazi yao ni nini? Unajuwa Tiss wanafanyakazi under cover sehemu zipi?
Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Jul 22, 2024 #3 90% wafanyakazi wa ikulu ni TISS, natumai umeelewa zinajazwa vipi.
Intelligence Justice JF-Expert Member Joined Oct 23, 2020 Posts 3,443 Reaction score 4,006 Jul 22, 2024 #4 Hao ni maofisa usalama wa taifa wanaochomekwa kwenye nafasi fulani kama viongozi raia kumbe ni kwa mpango maalum
Hao ni maofisa usalama wa taifa wanaochomekwa kwenye nafasi fulani kama viongozi raia kumbe ni kwa mpango maalum