Lwakalisa
Member
- Feb 26, 2013
- 27
- 12
Wadau naomba kujuzwa. Nimelima pilipili ila baada ya mzao wa pili kwenye majani imejitokeza kama ukungu kwa chini na mimea ni kama imeanza kudhoofu.
Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu kuzunguka na jani kwa maduka ya pembejeo majibu ni kama yanachanganya.
Ahsanteni.
Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu kuzunguka na jani kwa maduka ya pembejeo majibu ni kama yanachanganya.
Ahsanteni.