Kwa Wataalamu wa kuunda Incubators

Kwa Wataalamu wa kuunda Incubators

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege.

bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho control kiwango cha joto katika mashine hizo,kwa utaalamu wangu nimefanikiwa kuunda kifaa ambacho kinafanya kazi kwa mfumo wa kidigitali ambacho kitakuwa msaada mkubwa katika utengenezaji wa mashine za uanguaji vifaranga zenye ubora.

kifaa hiki ni rahisi kukupata pia kukitumia,vile vile hakina usumbufu wa kutafuta sensor,kifaa hiki kimekamilika kikiwa na kila kitu.

Unacho hitaji ni kufunga feni zako na hita zako tu.

Kinatumia mfumo wa logic hivyo kipo thabiti katika ufanyaji wake wa kazi.

Karibuni tushirikiane katika uboreshaji wa huduma tunazo zitoa katika jimii yetu.

FEATURES ZAKE.

1.Kinawasha heater automatic pale joto linaposhuka chini ya kiwango kinacho takiwa.
2.kinazima heater pale joto linapo fikia kiwango kinacho takiwa(kinauwezo wa kumeintain joto husika kwa kiwango cha uhakika wa silimia 99)
3.Feni za kupooza zitajiwasha automatic kama joto litavuka kiwango ambacho kinacho takiwa kutegemeana na ulivyo set!
Kina LCD screen hivyo unaweza kuona mwenendo mzima wa kupanda au kushuka kwa joto kupitia screen hiyo.

Zilivyo kwa ndani
View attachment 254966

Zikiwa zimekamilika
View attachment 254967

Features zake
View attachment 254964


0657115587
 
Okey unakiuza bei gani na pia picha zako kwangu hazijafunguka so nimeshindwa kukiona labda unitumie whatsapp 0713126474
 
Back
Top Bottom