Safari ya mbali kwenda bukoka kutoka wapi?, mwanza, chato au karagwe?Sina uzoefu sana na Magari hasa ya kisasa.
Ni hivi Jilani yangu anataka kuagiza gari Japani, sasa kulingana na tulivo zoeana amekuja hapa kuniomba ushauri. Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M. Anaomba ushauri aagize gari ya aina gani?
Iwe iko juu isiwe inaguza kwenye matuta.
Iwe na cc chini ya 1500.
Iwe na uwezo wa kwenda safari ya mbali kama bukoba.
Iwe na 4wheale
Ushauri tafadhali.
Mkuu kale kashepu ka probox kama unacheza muvi la kihindi...well ni kagari kazuri ila akainue kidogo!Kaka chukua probox bonge ya Gari iinue kidogo hata marekani inafika na haili mafuta...
Hahahaha ile gari bwana kama ingekua ni demu basi aliyefanana na baba akeMkuu kale kashepu ka probox kama unacheza muvi la kihindi...well ni kagari kazuri ila akainue kidogo!
Kwa sifa hizo ni toyota cami, na masafa ya mbali gari zote zinafika.
Vipi balance yake barabarani ikoje mtaalamuKwa sifa hizo ni toyota cami, na masafa ya mbali gari zote zinafika.
Sina uhakika sana ila hizi modification zinaondoa gari katika balance yake maana kama anainua haizidi nchi 3 sasa kwa gari kaaribu kila kitu...atafute tuu ya juu juu basi!!Mkuu kale kashepu ka probox kama unacheza muvi la kihindi...well ni kagari kazuri ila akainue kidogo!
Mkuu jerry mubadala Wa hiyo yaweza kuwa gari gani? Ambayo ina shepu nzuriHahahaha ile gari bwana kama ingekua ni demu basi aliyefanana na baba ake
Chukua escudo new model (2005 or after)Mkuu jerry mubadala Wa hiyo yaweza kuwa gari gani? Ambayo ina shepu nzuri
Unaijua bei ya toyota rush wewe u unafanya masihara? Inacheza 25m mpaka 30Chukua Toyota Rush.