Kwa wataalamu wa magari: Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M, anaomba ushauri aagize gari ya aina gani?

Kwa wataalamu wa magari: Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M, anaomba ushauri aagize gari ya aina gani?

Ila sio lazma uanze na gari ya ndoto yako ,just nunua gari itakayokusaidia shughul ZAKO ,itunze vizur then in two years or one year unauza na kuongeza pesa then you get gari ya ndoto yako .
Hiyo pesa yako unapata Raum .na NI nzur kwa shughul nyingi tu ,unless Kama
Unataka kubeba Nguruwe [emoji12].
 
Kaka chukua probox bonge ya Gari iinue kidogo hata marekani inafika na haili mafuta...
Dah!e bana hii gari nmeikubali,ni kagumu halafu kanabeba kuliko kirikuu!ila kuna mwenzake pia anaitwa toyoto succeed!
 
Sina uhakika sana ila hizi modification zinaondoa gari katika balance yake maana kama anainua haizidi nchi 3 sasa kwa gari kaaribu kila kitu...atafute tuu ya juu juu basi!!
Unaiinua then unaenda kufanya wheel alignment and balance!
 
Ila sio lazma uanze na gari ya ndoto yako ,just nunua gari itakayokusaidia shughul ZAKO ,itunze vizur then in two years or one year unauza na kuongeza pesa then you get gari ya ndoto yako .
Hiyo pesa yako unapata Raum .na NI nzur kwa shughul nyingi tu ,unless Kama
Unataka kubeba Nguruwe [emoji12].
100% percent mkuu mimi nilianzaga na canter 1.5tonnes kila sehemu naenda nayo hadi church,harusi za watu etc.Sasa naendesha dream car yangu.
 
Dahhh leo nimependa hii thread inavyopata majibu ya busara.Kuna zingine huwa zinaingiliwa na wavuta ngwengwe kuharibu tu
 
Dahhh leo nimependa hii thread inavyopata majibu ya busara.Kuna zingine huwa zinaingiliwa na wavuta ngwengwe kuharibu tu
Sure mkuu,kuna siku majibu yanakua ya maana siku nyingine hovyooo
 
mlioandika toyota cami mnajua ni sh ngap ambayo haijatumika bongo
 
Back
Top Bottom