Dah!e bana hii gari nmeikubali,ni kagumu halafu kanabeba kuliko kirikuu!ila kuna mwenzake pia anaitwa toyoto succeed!Kaka chukua probox bonge ya Gari iinue kidogo hata marekani inafika na haili mafuta...
Probox ni gari ya kazi ya wajasiriamali mzee!Mkuu kale kashepu ka probox kama unacheza muvi la kihindi...well ni kagari kazuri ila akainue kidogo!
Unaiinua then unaenda kufanya wheel alignment and balance!Sina uhakika sana ila hizi modification zinaondoa gari katika balance yake maana kama anainua haizidi nchi 3 sasa kwa gari kaaribu kila kitu...atafute tuu ya juu juu basi!!
Rush unapata kwa 10m?...naipenda rush sana...Chukua Toyota Rush.
100% percent mkuu mimi nilianzaga na canter 1.5tonnes kila sehemu naenda nayo hadi church,harusi za watu etc.Sasa naendesha dream car yangu.Ila sio lazma uanze na gari ya ndoto yako ,just nunua gari itakayokusaidia shughul ZAKO ,itunze vizur then in two years or one year unauza na kuongeza pesa then you get gari ya ndoto yako .
Hiyo pesa yako unapata Raum .na NI nzur kwa shughul nyingi tu ,unless Kama
Unataka kubeba Nguruwe [emoji12].
Yuko kule kupatana.com anauzaga magari yake yasiyouzikaMunawar sijui alipotelea wap
Sure mkuu,kuna siku majibu yanakua ya maana siku nyingine hovyoooDahhh leo nimependa hii thread inavyopata majibu ya busara.Kuna zingine huwa zinaingiliwa na wavuta ngwengwe kuharibu tu