Chukua kalenda uhesabu
Yeye kauliza wataalamu wa mimba, na wataalamu wa mimba ni wanaume tu, sasa wewe mwanamke unajibu nini au ushawahi kutia mtu mimba?miez 5
habarin wana jamvi, kwa mwanamke ambaye mara ya mwisho kuona hedhi ilikuwa ni tarehe 17/4 Je mpaka tareh 17/9 ujauzito utakuwa na wiki ngap coz naona nachanganywa
miez 5
Miezi mitano
mmeulizwa wiki, ninyi mwataja miezi...!!!!
Tumemrahisishia kwani hajui kizidisha mkuu watu8?