Kwa wataalamu wa masuala ya mimba msaada

Suns

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
69
Reaction score
14
habarin wana jamvi, kwa mwanamke ambaye mara ya mwisho kuona hedhi ilikuwa ni tarehe 17/4 Je mpaka tareh 17/9 ujauzito utakuwa na wiki ngap coz naona nachanganywa
 
Maelezo yake yenyew hajielewi hyo mimba ni ya mbuzi au ngombe?
 
habarin wana jamvi, kwa mwanamke ambaye mara ya mwisho kuona hedhi ilikuwa ni tarehe 17/4 Je mpaka tareh 17/9 ujauzito utakuwa na wiki ngap coz naona nachanganywa

Hesabu idadi ya wiki tokea tarehe ya kwanza hadi sasa....

Labda utuambie hata kuhesabu wiki kwenye kalenda huwezi...
 
Back
Top Bottom