Kwa wataalamu wa Python;

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Habarini za jioni,
Naombeni msaada kidogo katika hili.
Kuna kipengele kimoja katika "Python programming language" kinaitwa "Regular Expressions".Hiki kipengele kinanichanganya kiasi katika platform ninayosomea.Nimekimaliza ila nikijipima najiona bado.
Wenzangu mliopo vizuri hii lugha nisaidieni "documentation" ya mliposomea hicho kipengele.Iwe katika mfumo wa pdf au vyovyote vile.
Natanguliza shukrani🙏
 
Kuwa mvumilivu mkuu watakuja, pia utafute tutorials za youtube zaweza kukupa msaada.

Kuwa mvumilivu mkuu watakuja, pia utafute tutorials za youtube zaweza kukupa msaada.
Nimepitia maeneo mbalimbali ila nilikuwa naomba mtu mwenye "complete documentation" anisaidie.
Naendelea kuvumilia,Asante.
 
Mkuu endelea kupambana lakini ungeweka wazi usichokielewa kwenye regular expressions ni kipi ili tupate pa kuanzia
 
Mkuu endelea kupambana lakini ungeweka wazi usichokielewa kwenye regular expressions ni kipi ili tupate pa kuanzia
Syntax nimezielewa vizuri.Sasa tatizo linakuja kwenye application ya zile 'metacharacters' na zile 'special sequences'.
Kwa mfano:
Nitatumia pattern ipi ili 'user' anapoingiza string ya namna hii👇👇
"123!456!" i-match?
Kiufupi nataka nifahamu moja kwa moja kucheza na mambo ya "validation".
 
Hamna python devs humu ndani?

Kuwa mvumilivu mkuu watakuja, pia utafute tutorials za youtube zaweza kukupa msaada.

Natumai itasaidia. hii tunatumia kwenye password validation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…