kwa watafasiri na wakarimani

kwa watafasiri na wakarimani

Mbute na chai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
564
Reaction score
593
Chemsha bongo kwa kutafsiri vishazi vifuatavyo kwa Kiingereza:

1. Tumepata msiba nyumbani.
2. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
3. Mtoto wa nyoka ni nyoka
 
Back
Top Bottom