Mkuu Nexltshahda ndoo ndogo ya dagaa waliokaangwa bei ni 60000 ila kama ni wabichi ni 35000Safi sana,,,,, ndoo ndogo ya dagaa wa kukaanga Bei gani mkuu?
Ok nimekupata ukitanguliza uwaminifu utafika mbaliMkuu Nexltshahda ndoo ndogo ya dagaa waliokaangwa bei ni 60000 ila kama ni wabichi ni 35000
Sawa mkuuOk nimekupata ukitanguliza uwaminifu utafika mbali
Sh 10000 mkuusato kilo bei gani
Pia inategemea mkuu Kuna watatu kilo au mmoja kilondo hivyosato kilo bei gani
ukituma mpaka dar hiyo kilo itakuwa bei gani kwa..Pia inategemea mkuu Kuna watatu kilo au mmoja kilondo hivyo
Yani wote unataka kwa pamoja au tofautiukituma mpaka dar hiyo kilo itakuwa bei gani kwa..
1..wabichi ?
2..wakavu i,e waliokaushwa ?
Nataka uwe unaniletea mapanki.Kilo moja shilingi ngapi?Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa JF, mhali Gani,
Ndugu zangu wanaJF nimekuja kwenu Mimi kijana wenu na member mwenzenu nipo Kanda ya ziwa ninaomba niwe mnanituma niwe nawatafutia Huku Kuna samaki aina ya sato, sangara, pia kuna dagaa wabichi, wakavu wasio na mchanga.
Pia ukaniambia nikutengenezee kwa kuwaosha na kuwakaanga jinsi unavyotaka wewe Kisha nikutumie huko ulipo
Naomba mnipe kazi hiyo ndugu zangu mtaani kugumu.
Mtaji Sina ila Nina uaminifu, mkweli, na pamoja na viambativo kama kadi ya NIDA, kadi ya kura, cheti cha kuzaliwa, cheti cha kuhitimu elimu, vyote nitakutumia na picha yangu ili ujiridhishe mnipe kazi hiyo, nawaombeni sana member wenzangu wakubwa kwa wadogo.
Nitumie nikufatie mboga yoyote unayotaka hata ukitaka nikuprintie vikaratasi uwe unauza kama biashara kwenye vimfuko vya mia tano au elfu moja nitafanya hivyo.
Nipeni kazi ndugu zangu 🙏Asanteni
Kama ni samaki wanakangwa Kisha wanaanikwa juani hao wanakuwa vizuri ata wakisafirishwa hawawezi kuaribika mpaka wanafikaWanakaa muda gani wengine sisi tunataka kula sio wafanyabiashara
Hiyo mpaka kiwandani mkuu sijajua kwa bei mpaka niulizeNataka uwe unaniletea mapanki.Kilo moja shilingi ngapi?
Wakavu wanakuwa vizuri mkuu ulikuwa unataka wa kilo ngapiukituma mpaka dar hiyo kilo itakuwa bei gani kwa..
1..wabichi ?
2..wakavu i,e waliokaushwa ?
Sado Moja 30000 pamoja na usafiri, na mafuta, kuniDagaa wabichi wa kukaanga Sado bei gani?
Mbona hata whatsapp hupatikani kijana?Watakaotaka kunipa kazi hiyo namba yangu ni 0674615883