- Thread starter
- #41
Kwa kimoja bei zimetofautiana Kuna cha 5000, 7000, 8000 bei kutokana na ukubwa wakeKibambala bei gani?
Kazi ni kipimo cha utu
Kwa kimoja bei zimetofautiana Kuna cha 5000, 7000, 8000 bei kutokana na ukubwa wakeKibambala bei gani?
Kazi ni kipimo cha utu
Hakuna shida uhaminifu upo mkuuNanunua Sana Dagaa Wa Kukaanga Waliochujwa Mafuta Hapo Mwanza
Nafuatilia Comments Nikijiridhisha Nitakupa Kazi
leo Asubuhi Hii Nimepokea Sado Tatu Toka Mwanza
Mkuu siwezi mtapeli mtu, Mimi hofu yangu ni kwamba mzigo ukisafiri kusiko bila kumfikia mteja, Kuna kulipa au kufatilia Mimi ,Mambo ya utapeli huwakosesha fursa wale wenye nia njema.
Nipo WhatsappMbona hata whatsapp hupatikani kijana?
Usiweke imani kwa huyo dogo chawa wa ccm anaeishi chanika kwa shangazi yakeKiongozi Tlaatlaah naona kimya dm nimekucheck