Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,🙏 Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu uaminifu wakuu
 
Mnipatie kazi wakuu nipo tayari kwa kazi yenu
 
Maboss nipeni kazi wakuu mnipe kazi nifanye ya kuwatafutia samaki sato, sangara au dagaa wakubwa kwa wadogo, nipo Mara, niwatumie huko mlipo, Sina mtaji zaidi ya uhaminifu tu kuniamini Mimi kesho ijumatano wanafunga Giza , siku inaweza kuwa week Moja mpaka week mbili, nipeni kazi
 
Mkuu Tlaatlaah wanafunga kesho Giza nipe kazi mkuu dagaa au samaki sato, sangara, fulu, gogogo cha muhimu uhaminifu Mimi kijana wenu pia mdogo wenu
 
Wakuu mfungo wa Giza umefungwa kwa wana Musoma ziwani jumatano ya 24 sijajua kufungua itakuwa lini, ntawajurisha lakini mnipatie kazi wakuu Tlaatlaah na wengine pia
 
Watu mnaonitafuta nashukuruni sana mnaulizia pia NAMI nawajibu Asanteni sana 🙏
 
.🤔 lakini wakuu samaki bado zinapatikana hasa SANGARA sato ndo shida sana karibuni lakini wakuu
 
Dagaa pia kwa mbide msimu wa Giza kufunga ziwa lakini karibuni, wakuu zitapatikana wakuu, nipeni kazi kijana wenu nisilie njaa,
 
Hujajibu swali. Nimekuuliza wanakaa muda gani bila kuharibika?
Hiki ni chakula muda wa kukaa bila kuaribika ipo nje ya uwezo wangu hiko ni chakula nadhani unajua maana ya expire date ushauri tu samaki wakifika wafungue toa kwenye box anika juani au kivulini wanapigwa na upepo tu kila siku,
 
Samaki Aina ya SANGARA wanapatikana nipatieni kazi wakuu niwaletee kwa mboga ama biashara nipatieni kazi
 
Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,🙏 Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu uaminifu wakuu
 
SANGARA WANAPATIKANA NIPATIENI KAZI
 
Back
Top Bottom