Umenipatia sana, hizo ndio mboga nizipendazo, soon nitakuchekiDr. Mariposa nipe kazi nikuletee dagaa na samaki sato au Sangara popote ulipo dagaa wasio na mchanga wenye nyama karibu sana
Ndo nimeanza kwa kujiajiri hivi mkuu nikipata kazi kwa mara ya kwanza nitapost hapaJaribu kuwa unapost baadhi ya kazi zako ukiwa site, tokea umeanzisha Uzi hauna ata picha Moja ya kazi zako.
Ukiweka picha nafikiri itaongeza ushawishi na utapata wateja wengi
Njia ya kukufikishia mzigo ni kwa bus mpaka mkoa ulikoNimeona umenitag
Salamu,
Hiyo njia yako ipoje?