Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

Leejay49 karibu sana samaki na dagaa wasio na mchanga wenye Radha na nyama karibu sana uhaminifu upo mkuu
 
Wakuu Alhamisi ya tarehe23 GIZA linafungwa samaki na dagaa wanakuwa adimu sana, nipeni kazi wakuu niwaletee samaki na dagaa 🙏
 
Niletee ndoo moja
Sawa mkuu Mimi Sina mtaji lakini naomba unipatie kazi je ndoo Moja hii, SANGARA nakukaangia au wabichi maana Mimi kwa wabichi Sina mtaji wa kuwaweka kwenye friza au kwenye mabarafu
 
Wakuu Alhamisi ya tarehe23 GIZA linafungwa samaki na dagaa wanakuwa adimu sana, nipeni kazi wakuu niwaletee samaki na dagaa 🙏
 
Back
Top Bottom