george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
jamani kwa wale wadogo zangu watakao chaguliwa kujiunga na kidato cha tano lukole high school{ngara-kagera} nawakaribisha sana hapa ckuli....ni shule nzuri yenye waalimu wa kutosha na wenye uzoefu wa kutosha pia mazingira rafiki kwa mwanafunzi....shule ilikuwa ya kwanza ACSE mwaka huu...karibu sana lukole kisiwa cha amani...