ok
Bodi imebadilisha formation ya levels ivo haipo kama ilivo kuwa zamani,siku izi kuna intermediate na final stage levels ambazo ndio kama module E na F
Intermediate ina masomo baadhi toka module E na mengine mapya JUMLA SITA,ukitaka kufahamu zaidi tembelea website yao www.nbaa.go.tz

hahahhhh haupo serious hata kidogo mkuu. CPA haipatikani kwa kujitangaza kwa mitandao. nenda ifm.dit.nit.chuo cha maji.cbe.utakutana na wenzako jumuika nao. ila hata ukikamua geto utapata tu. discussion ni extra.