Kwa watakaofanya mitihani ya CPA 2015 May (Intermediate)

Kwa watakaofanya mitihani ya CPA 2015 May (Intermediate)

mgalilaya

Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
23
Reaction score
3
Habari Tanzanian,

Natafuta partner wakufanya nae discussion ndugu wahasibu wenzangu.

Nipo Dar es Salaam napatikana kwa namba za simu 0759515730

Tafadhali tushirikiane
 
Habari Tanzanian,
Natafuta partner wakufanya nae discussion ndugu wahasibu wenzangu,nipo dsm napatkana kwa namba 0759515730
Tafadhali tushirikiane

kaka samahani naomba unipe majina kamili ya masomo ya module e and f...
 
ok
Bodi imebadilisha formation ya levels ivo haipo kama ilivo kuwa zamani,siku izi kuna intermediate na final stage levels ambazo ndio kama module E na F
Intermediate ina masomo baadhi toka module E na mengine mapya JUMLA SITA,ukitaka kufahamu zaidi tembelea website yao www.nbaa.go.tz
 
hahahhhh haupo serious hata kidogo mkuu. CPA haipatikani kwa kujitangaza kwa mitandao. nenda ifm.dit.nit.chuo cha maji.cbe.utakutana na wenzako jumuika nao. ila hata ukikamua geto utapata tu. discussion ni extra.
 
Cpa tamu sana ukiipata...mjini panakuwa patamu sana....komaeni usiku na mchana mchukue hiyo mambo. Ukiwakazia LAZIMA UNATOKA
 
Back
Top Bottom