Kwa Watanzania mliotucheka kwa sisi kutukanwa na Mchina, hivi mnajua Ronald Reagan aliwahi kuwaita Watanzania 'nyani'

Kwa Watanzania mliotucheka kwa sisi kutukanwa na Mchina, hivi mnajua Ronald Reagan aliwahi kuwaita Watanzania 'nyani'

Regan alitukana Tanzania akiwa USA tena kwenye simu na kisirisiri. Nyie mnatukanwa hadharani tena Kenya. MK254 inaelekea kichwa chako kimejaa kamasi au Ndio ile Kibaki anaita mtu ya mavi ya kuku
 
Kuna kipindi Mchina fulani alinukuliwa akiwatukana Wakenya kwa kuwaita nyani, kitu ambacho kilisababisha afurushwe nchini moja kwa moja. Kisa hicho kilionekana kuwafurahisha sana Watanzania ambao wamesahau tusi lolote la kibaguzi dhidi ya Mkenya pia linawahusu na wao.
Sasa kuna taarifa za clip zimejitokeza kwamba aliyekua rais wa Marekani bwana Ronald Reagan aliwahi kuwatusi Watanzania na kuwaita 'nyani'.
-------------------------

Tanzania is at the centre of a newly unearthed racial conversation between two former American presidents, in which a Tanzanian delegation to the UN is referred to as “monkeys”.
In an audio clip, unearthed from the President Richard Nixon Library, former President Ronald Reagan is heard disparaging Tanzanians as ‘monkeys’ during a telephone call with the then incumbent President Nixon.
The long-hidden racist conversation between the two American leaders has just been published in The Atlantic, following years of attempts to block its release in a bid to protect the former US president’s privacy.
It was October 1971 when the UN a took its vote to seat a delegation from the People’s Republic of China, instead of from Taiwan.
Hua ukikosa cha kuandika kaa kimya mi hata cjakuelewa
 
Back
Top Bottom