Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

Kilevi changu bana mie totoz tu! hapo naweza nisitoke ndani mwaka na zaidi...Maria S. Anajua ndo zangu mie!
 
Watz ambao wanapendana na kushirikiana Ni wakutoka Znz tu,huku Bara akifika Europe au North America hata kama alikuwa house girl bongo hataki kushirikiana na wtz wenzake nakuwa mzungu
tatizo lenu bara bana kurogana /wivu/tamaa/kuzibiana/kuibiana mademu bila aibu/uchawi mwee! Hata km ni wewe utakubali hayo?
 
Uswis amekuwa member wa EU lini? nadhani ni member wa schengen visa pekee si member state wa EU
 
Switzerland is not an EU country so please don’t confuse people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…