Kwa watoto wa mjini tu: Tukumbushane SPM kiwanda cha karatasi Mgololo, Sawala na Site!

Kwa watoto wa mjini tu: Tukumbushane SPM kiwanda cha karatasi Mgololo, Sawala na Site!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Wakuu heshima kwenu!

Kwa wale watoto wa mjini tuu tulio jua taa za barabarani miaka ya 90... tulio kuwa tunapiga misele kwa kupanda gari la kazini bure.

Watoto wa mesi... watoto wa mason club watoto wa senior club.

Mpo wapi wakazi wa BQ, Construction house, H5 watoto wa kimasikini H3 na H1.

Mpo wapi watoto wa mtaa wa chini na wajuu pale sawala.. watoto wa Midzini mgololo.. kariakoo sokoni... barabara ya morogoro Road... wapi wazee wa wedi wala mikusu kule airport..

Mgololo
Kitu kizuri sana Mwalimu ali
images (3).jpeg


tengeneza nowdays maisha ni hopeless na mateso na majuto
 
Tittle ya mada ni kiwanda cha karatasi cha Mgololo, content ni watoto wa mitaani. Ndio maana kiwanda kikafa sababu hatujui tunafanya nini
 
Kwahiyo hapo Mgololo Mufindi ndo kulikuwa na watoto wa mjini?
 
Back
Top Bottom