Kwa watu wa zamani tu!!

Kwa watu wa zamani tu!!

baba angu mdogo alikuwa na kadaftari kake kana makaratasi magumu magumu kama ya manila paper kanaitwa auobiography kamejaa miandiko ya kike na na vimichoro michoro vya maua maua alinitandika siku hiyo alipokuta nakasoma

hivi hivyo via auto bado vipo?
 
Hahaha unasoma Mambo yake
 
Yule magoti Yule na Ohio
Tulikuwa tunaenda mida mibovu tunaita wale wa kuchina (kama samaki )mida hiyo hawana dita tunachukua kiubwete tu ukisikia mida ya wa kuchina basi ni karibu ya kukucha na manzi hana hata nauli ya kurudi skani
 
Back
Top Bottom