Unaelewa maana ya Mbandandu au umesikia hilo neno ukaamua kulitumia?Mbandandu hunitoi hapo chupa moja tu guarantee ya masaa nane
Aise nikutafute weekend ijayo nini hizo ulizotaja Hahahaha ongeza Jameson daahJack Daniels Glenfidich Glenmorangie. Nikikosa hizo basi Wine au Desperado itanitosh. Wine dry red napendelea kama Drosthof
Swadakta MkuuMimi nakunywa kila kitu
Kikishaitwa pombe na kina ulevi basi mimi twendee kazi
Nawashangaa wanaochagua pombe...sijui wameanza ukubwani??Swadakta Mkuu