Kwa watumiaji wa pombe, ipi ndio chaguo lako!

Kwa watumiaji wa pombe, ipi ndio chaguo lako!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Hello maladies and gentlemen!
Karibuni hapa tujuzane ladha uipendayo ya kilaji ukipendacho, na pia kupeana uzoefu wa ladha mpya ya vilaji!
Yawezekana ukataja kilaji ukipendacho na mdau mwenzako akakipenda na hivyo nae akapata ashki ya kutumia hicho kilaji ili kubadili ladha mara mojamoja!
Binafsi, napenda castle lager baridi na mara chache natumia whindoek!
Vinywaji vikali, hii kwangu ni best! whisky ya Glenfarclas Fortress
Karibuni...
Note; hatunywi kwa sababu ya ulevi, ni kwa afya!
 
Mbandandu hunitoi hapo chupa moja tu guarantee ya masaa nane
 
Back
Top Bottom