Kwa wavulana, majibu mabaya ya kukataliwa toka kwa wasichana ambayo hutakaa usau

Kwa wavulana, majibu mabaya ya kukataliwa toka kwa wasichana ambayo hutakaa usau

Kuhonga ndyo mistake kuu kwa watoto wa shule husimpe yeye jihonge wewe kwa pamba kali, misosi mikali kutembelewa mara kwa mara na ndugu mwenye hela au wazazi, kuwa mwanamichezo au msanii, utawamega
Mkuu ndio manini umeandika hapo.
 
Siwezi kukulaumu sababu I'd yako pekee ina jieleza aiseeee
 
Mimi Bado sija pata shuruba ya kukataliwa labda kuzungushwa kupata jibu nilikaaa kama miaka miwili ndio nikapata jibu sahihi
 
Back
Top Bottom