Kwa wavuta sigara

Kwa wavuta sigara

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
200
Ndg wajuzi wa masuala ya kitabibu hawa kwa magonjwa yanayoweza kuzuilika /kuhepukika,, hivi mtindi una uwezo wa kuwasaidia watu wanaofanya kazi Kwenye maeneo ya vumbi? Kama ilivyo kwa maziwa fresh,, pia kwa wavuta sigara
 
Sigara ni mateso (kufa, wote tutakufa)
 
Ndg wajuzi wa masuala ya kitabibu hawa kwa magonjwa yanayoweza kuzuilika /kuhepukika,, hivi mtindi una uwezo wa kuwasaidia watu wanaofanya kazi Kwenye maeneo ya vumbi? Kama ilivyo kwa maziwa fresh,, pia kwa wavuta sigara
Kwani ukinywa maziwa yanaenda kwenye mapafu?
 
Back
Top Bottom