Ni ekari 18.5 au hekta 7.5 mkuusqm 75000 ndo ukubwa gani kwa heka?
Shamba linauzwa Kiguza,Oyoyo,Mkuranga.Sqm 75000,lipo kando ya barabara ya Mkuranga- kisarawe road mbele ya shamba la Salma Kikwete.Pia linafaa kwa kiwanda au ufugaji wa kuku,real estate n.k.Umeme tayari ushafika kijijinina ni 3km kutoka Kilwa road.
Bei 300milioni/USD 190000.
Simu:0754 856277/0714 381704
umeharibu kusema karibu na shamba la first lady ,riz akitaka kuwa karibu na mama yake si anakuhamishia panganiShamba linauzwa Kiguza,Oyoyo,Mkuranga.Sqm 75000,lipo kando ya barabara ya Mkuranga- kisarawe road mbele ya shamba la Salma Kikwete.Pia linafaa kwa kiwanda au ufugaji wa kuku,real estate n.k.Umeme tayari ushafika kijijinina ni 3km kutoka Kilwa road.
Bei 300milioni/USD 190000.
Simu:0754 856277/0714 381704
kwahiyo likiwa mbele ya shamba la mama salma kikwete ndio unaweka bei hiyo? mashamba mkuranga eka moja inauzwa kuanzia laki tano mpaka milioni mbili. Udalali huu unabadili sana soko