Kwa wawekezaji katika kilimo cha Maembe Mkuranga

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,640
Reaction score
7,943
Shamba linauzwa Kiguza,Oyoyo,Mkuranga.Sqm 75000,lipo kando ya barabara ya Mkuranga- kisarawe road mbele ya shamba la Salma Kikwete.Pia linafaa kwa kiwanda au ufugaji wa kuku,real estate n.k.Umeme tayari ushafika kijijinina ni 3km kutoka Kilwa road.
Bei 300milioni/USD 190000.
Simu:0754 856277/0714 381704
 
kwahiyo likiwa mbele ya shamba la mama salma kikwete ndio unaweka bei hiyo? mashamba mkuranga eka moja inauzwa kuanzia laki tano mpaka milioni mbili. Udalali huu unabadili sana soko
 
shamba kuwa karibu na mkuu sio dili. hawa wakuu/wenye uwezo hawakawii kutamani eneo lako.
ukibahatika sana unaweza lipwa au unapewa pori sehemu nyingine na kuambiwa uhame.
vinginevyo unatumiwa ujumbe tuu "serikali imeamua kuchukua eneo"
 
Shamba linauzwa Kiguza,Oyoyo,Mkuranga.Sqm 75000,lipo kando ya barabara ya Mkuranga- kisarawe road mbele ya shamba la Salma Kikwete.Pia linafaa kwa kiwanda au ufugaji wa kuku,real estate n.k.Umeme tayari ushafika kijijinina ni 3km kutoka Kilwa road.
Bei 300milioni/USD 190000.
Simu:0754 856277/0714 381704
umeharibu kusema karibu na shamba la first lady ,riz akitaka kuwa karibu na mama yake si anakuhamishia pangani
 
kwahiyo likiwa mbele ya shamba la mama salma kikwete ndio unaweka bei hiyo? mashamba mkuranga eka moja inauzwa kuanzia laki tano mpaka milioni mbili. Udalali huu unabadili sana soko

Kwa bei hiyo ni bora aende mkombozi wamuunganishe na Regemarira.
 
Back
Top Bottom