Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Mmmmh! Mkuu sijajua ulisoma pale mwaka gani, ila naomba uniambie kama huyo demu jina lake linaanzia herufi "N".Hata bongo kuna wazazi ambao huwa wanawakagua watoto wao bikra. Nakumbuka kipindi niko O'level Mbeya day kuna kigori alikuwa mlimbwende haswa, ilikuwa inasemekana mama yake anamkagua bikra.
Kuna siku nilimwingiza mpaka geto, akagoma kutoa papuchi akanichana ananiambia ana bikra na kwao huwa anakaguliwa. Nikalazimisha nikague, Aiseee nilikuta yaliyomo yamo.
Classmate wa Mbeya Day mwaka 201.... Mmenielewa.
Sasa mtu wa karne hii anaanzaje kuwa creepy kiasi cha kukomalia mara kwa mara kumpeleka binti yake mdogo wa kike kuchunguliwa kama anacho ile kiwambo?Sio kweli. Yaani apate tamaa kwa binti yake? Noo...! Kukata utepe linashawishije hilo?. Isitoshe Hujui tu wengi wanaikimbia hiyo kazi
Huwa tunatumia vidole kaka. Unaingiza kwenye papuchino unaanza kuitafuta.
Madhara ya kukosa shule na class.Halafu hicho ki-hymen kinaweza kutoka bila hata sexual intercourse.
Na kibaya zaidi, kwa nini T.I. autangazie ulimwengu?
Weird!!!
IdiotSina uhakika kama suala hili lilliletwa hapa na kujadiliwa.
Suala lenyewe ni lipi? Ni kuhusu bikra ya binti aliyepevuka, ambaye ana umri wa miaka 18.
Takriban kama mwezi sasa, mwana Hip-hop wa Marekani ajulikanaye kama T.I. alizua mtafaruku huko Marekani na kwingineko pale aliposema kwamba huwa anaenda na binti yake mwenye umri wa miaka 18 kwenye miadi ya daktari wa kuzalisha watoto na afya za wanawake [OBGYN] ili kuhakiki kama bintiye bado anayo bikira yake.
Jambo hili lilishtua watu wengi sana na kuzua mjadala mkali sana kwenye majukwaa mbalimbali kiasi cha kumfanya T.I. aombe radhi na kutoa ufafanuzi wa maneno aliyoyasema.
Maoni yangu binafsi ni kwamba, binti wa miaka 18 ni mkubwa vya kutosha.
Kuambatana naye kwa daktari ili kumkagua bikira yake ni kuiingilia faragha yake.
Ndiyo, sikatai kwamba baba kumlinda bintiye dhidi ya ‘fu.ck boys’ ni jambo zuri.
Lakini, hiyo haimaanishi mtu ndo uvuke mipaka kiasi hicho.
The whole thing is just gross to me.
What say you mdau? Yea or nay?