Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kuna sababu za vyakula na kujaa gesi
Maumivu yoyote mwilini hukolea usiku mwili ukiwa umepumzika
Kuna tiba ya kupakana kitunguu saumu tumboni
Mkuu mtoto mchanga wa some weeks nimpake vitunguu???
 
Niko poa mamy... Huyu baby boy ndio ananichanganya mpaka nachizika!!
Oooh unanisuprise ujue, ngoja nikuje pembeni, kama ana week kadhaa si lile tumbo la gas mama, unamfanyia massage tumboni, unamkunja vimguu kama anaendesha baiskeli inamsaidia kutoa ile hewa anapata nafuu
 
Yeye ndo kafanya uitwe baba, kakuletea mtoto bila shaka ni furaha Kwako afu sahivi unakuja kuongea shombo juu yake, miezi miwili huyo bado ni mzazi shape yake haijarudi katika hali yake
Usamehewe bure.... Bora wali maharage kuliko wewe
Mkuu ndo uniporomoshee matus!!!!! yaan mimi ni km Wali maharage!!! you must be insane

kwanin usitumie lugha ya staha, Sasa msichana alikuwa mzuri anawaka kabadilika nisiombe ushauri lbd kuna kitu anakosea kwenye malez!!

Usipende kuatack mkuu
 
Ha ha ha ha ha ha ha kwahiyo wali maharage ni matusi, unayajua matusi wewe?
Unataka uelezwe kwa staha we mbona hujaongea kwa staha ovyo
 
Nini chanzo cha msichana anapozaa kuharibika umbo na sura?

Mimi nimezaa na msichana wangu na analea kwao kwao hakosi kitu na mimi najikaza nampa pesa ya matumiz lkn amechakaa sana anamiez miwili toka ajifungue yaan sura yake yote ipo kwa mwanangu Millen_happy
Nilikuwa na mipango tuish wote ila Sasa ni shingo upande
Ni kipindi tu kitapita atakuja kunawiri mpaka umtamani mara tano zaidi uzazi una complications nyingi...vumilia usije ukaja kujilaumu
 
Jana nme letetwa kesi ya mwanangu wa kiume ana miaka 4 sasa kafumwa ana fanya ngono na mtoto wa kike wa miaka 3 mitatu nme hamaki mwanangu kajifunza wapi haya mambo mpka sasa cja mfanya kitu nmetafakari kipi nifanye imebid nije hapa walau mnipe uzoefu ndio mtoto wa kwanza cna mtoto mwingine hivyo uzoefu wa malezi bado najifunza..

Naomba kuwasilisha
 
Usimwadhibu mchukue toka naye kamnunulie anachopenda kisha muulize kwa upole amejuaje hayo mambo mwambie asikudanganye kwakuwa umampenda sana hutaki aende motoni kwakuwa uongo ni dhambi
 
Asantee mkuu kwel nme fedheheka sana,
 
Asantee mkuu kwel nme fedheheka sana,
Hapana huna haja ya kufedheheka tunaishi kwenye dunia ya utandawazi na mishemishe za maisha zinatufanya kwa kiasi fulani kuwa mbali na watoto
Shukuru Mungu kakutwa na mtoto wa kike imagine ingekuwa tofauti. .!!!?
Tena yeye akiwa ndio mtendewa?
 
Yeye ndo kafanya uitwe baba, kakuletea mtoto bila shaka ni furaha Kwako afu sahivi unakuja kuongea shombo juu yake, miezi miwili huyo bado ni mzazi shape yake haijarudi katika hali yake
Usamehewe bure.... Bora wali maharage kuliko wewe

Hata wali mkavu una thamani kubwa kuliko huyu mtu. Mpumbavu kabisa huyu
 
Naomba kufahamu uhusiano wa mtoto kuumwa tumbo na kulia sana nyakati za usiku... Kwani hilo tumbo huwa linajua kuwa saiv ni usiku ndiposa linauma???

Lizzy, King'asti, Evelyn Salt mukujeee

Hahahahah charminglady umenichekesha, eti huwa linajua ni usiku?

Honestly mi hata sijui maana sijawahi ku-experience first hand. Ngoja wataalam waje kutuambia.
 
Nini chanzo cha msichana anapozaa kuharibika umbo na sura?

Mimi nimezaa na msichana wangu na analea kwao kwao hakosi kitu na mimi najikaza nampa pesa ya matumiz lkn amechakaa sana anamiez miwili toka ajifungue yaan sura yake yote ipo kwa mwanangu Millen_happy
Nilikuwa na mipango tuish wote ila Sasa ni shingo upande
Umri wako wa kuitwa Baba ulikua haujafika,unastahili kufungiwa jiwe kubwa shingoni na kutoswa baharini.
 
Hata wali mkavu una thamani kubwa kuliko huyu mtu. Mpumbavu kabisa huyu
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Umri wako wa kuitwa Baba ulikua haujafika,unastahili kufungiwa jiwe kubwa shingoni na kutoswa baharini.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Nini chanzo cha msichana anapozaa kuharibika umbo na sura?

Mimi nimezaa na msichana wangu na analea kwao kwao hakosi kitu na mimi najikaza nampa pesa ya matumiz lkn amechakaa sana anamiez miwili toka ajifungue yaan sura yake yote ipo kwa mwanangu Millen_happy
Nilikuwa na mipango tuish wote ila Sasa ni shingo upande
ww uliitwa mwanaume kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom