Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Doctor mshana hata tatu ni nyingi?Lishe si nzuri kwa watoto wadogo unachanganya ingredients nyingi kwa wakati mmoja halafu kipimo ni macho yako lazima mtoto apate constipation
Naomba nijibu kabla ya wengine kuna vidonge vya kuboost maziwa ya mamaTatizo langu ni kwamba mtoto wangu kazaliwa tarehe 8 mpaka leo tarehe 11 upatikanaji wa maziwa kwa mke wangu ni mdogo sana ,JE NINI SULUHISHO LA MAMA WATOTO ILI ATOE MAZIWA HARAKA? mshana jr
Mkuu vinaitwaje nikamnunulie?Naomba nijibu kabla ya wengine kuna vidonge vya kuboost maziwa ya mama
Sawa kiongozi nimekuelewa.Kuna vidonge vyake lakini nashauri onana na daktari kwa ushauri na maelekezo
Mkuu vinaitwaje nikamnunulie?
Mkuu vinaitwaje nikamnunulie?
Acha uwongo wa kupotosha watu wewe nahisi utakuwa mtaalamu wa lishe usiye jielewa kadanganye wa zazi wa kijijini kwenu.Hapo kwenye lishe ya mtoto wa siku moja mpaka miezi sita, maziwa ya mama peke yake hayatoshi. kuna haja ya kuongezea uji mwepesi kadiri mtoto anavyokuwa, maana watoto wengine jinsi anavyokuwa maziwa ya mama hayamtoshelezi. utakuta mtoto hapati usingizi vizuri sababu ya kutokushiba vizuri
solog huku sio jukwaa la siasa kwahiyo reply za namna hii hazina nafasi kwenye hii mada, tunachofanya hapa tunabadilishana uzoefu na kupeana maarifa, na hata kama ni kupingana ama kukosoana si kwa jinsi hii ya kwakoAcha uwongo wa kupotosha watu wewe nahisi utakuwa mtaalamu wa lishe usiye jielewa kadanganye wa zazi wa kijijini kwenu.
Havina uhusiano kuna watu wazima na magovi yao bado wana vibamia ukubwa wa uume unatokana na lishe bora na wengine urithi kutoka kwa wazazi wao.Maalum kwa watoto wa kiume
Si vema kumuwahisha tohara mtoto. ..hii ni kwa faida yake ukubwani, tohara inayowahi husababisha vibamia
wewe mkatili 2 week nouma sanaMshana Jr hii inategemea na maumbile tu ya mtoto tangu anazaliwa was kwangu nilimfanyia akiwa na 2weeks,sasa hivi ana 4yrs na mashine yake ni ya uhakika hadi namuonea huruma huyo mkwe atakayeimiliki.
wiki tatu namuona mdogo sana sio ataumia sana na hawez kutembea kutenganisha miguuMie wangu nilimfanyia tangu ana wiki 3. Na mtaimbo Alhamdulillah anao wa kiasi chake.
mdogo wangu kacheza michezo ya hatar sana na waume wa watu sasa kajifungua kwa operation sasa nahisi alikuwa anatoa 0658/0715Wengine wanadanganyana waliwa tigo wanatoa nnya hivo wanawahi operation teh
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mdogo wangu kacheza michezo ya hatar sana na waume wa watu sasa kajifungua kwa operation sasa nahisi alikuwa anatoa 0658/0715
Nadhani inawezekana kabisa kwakuwa kuna baadhi ya upasuaji hufanyika chini ya umri huo
Hapo kwenye lishe ya mtoto wa siku moja mpaka miezi sita, maziwa ya mama peke yake hayatoshi. kuna haja ya kuongezea uji mwepesi kadiri mtoto anavyokuwa, maana watoto wengine jinsi anavyokuwa maziwa ya mama hayamtoshelezi. utakuta mtoto hapati usingizi vizuri sababu ya kutokushiba vizuri
Inaweza kuwa ni mzio wa chakula ama kinywaji the best wasiliana na Dr bingwa kuepuka guess worksMtoto Wangu ana miezI 7, amepata malenge lenge sehemu ya mapajani yaani yakipasuka yanaota mengine hili linaweza Kuwa tatizo gani? Na dawa gani nimpatie