Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Ni kweli mshana jr na hata sasahv bado makabila mengine (likiwepo letu) yanatahiri vijana porini wakiwa mostly 14-18 ages,na pia huko wanafunzwa ujasiri,adabu na heshima kwa kila mtu.

Phylosophy yangu naamini vibamia vinasababishwa na watoto kuvaa chupi na haya mapampasi tangu wadogo. Enzi zetu tulikuwa tunaanza kuvaa chupi darasa la saba, hivyo hiyo kitu kwa kuning'inia muda mrefu hurefuka. Si unaona ndugu zetu wa marubega ingawa siku hizi nao wanaiga umagharibi walivyo na mutulinga ya uhakika ( kwa jinsi nilivyokuwa nawaona siku hizo wakiwa na marubega)
 
Habari, ninaomba kujua ni vitu vipi wazazi wakivifanya vinamdhuru mtoto mchanga kama kugusana na vinginevyo.
 
Wadada mkiwa na watoto wachanga mambo ya makeup,perfume na mawigi myaache mnawaumiza watoto.
 
Mkuu hebu eleza vzr hapa
Tendo la ngono huambatana na roho chafu na mapepo... Usipooga utayabeba mengi na ukitenda kumbeba mwanzo joto la huko ulikotoka litamuathiri
 
nenda kamuone daktari/ nenda Hospitali usitake kutumia tu dawa bila ushauri wa daktari
 
Thank you Mshana....hii elimu moja muhimu sanaa
 
Makuzi ya mtoto kiakili
Makuzi ya mtoto kimwili
Makuzi mtoto kimaadili

Naamini tuna wataalam wengi kwenye hizo nyanja ambao watakuja na mada zenye kujenga na kuelimishana.


*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Jr[emoji769]
 
Habari za jioni.. Ninamtoto wa kike miez 11, tatizo mtoto huyu anakula sana nguo.. Yaani akiona nguo umeivaa au ipo mahali popote anaitafuna .. Hii husababishwa na nini? Au ni hali ya ukuaji kwa mtoto
 
Habari za jioni.. Ninamtoto wa kike miez 11, tatizo mtoto huyu anakula sana nguo.. Yaani akiona nguo umeivaa au ipo mahali popote anaitafuna .. Hii husababishwa na nini? Au ni hali ya ukuaji kwa mtoto
Ni tatizo la kisaikolojia.. Wengine hula udongo vipande vya sigara njiti za kibiriti nknk... Ni tatizo lenye mahusiano makubwa tangu kutungwa kwa mimba na vitamin alizokosa mama. Tafuta daktari bingwa kwakuwa wengine hufikia hatua ya kula kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…