Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Mfunge shilingi tano na plasta kitarudi...Mwanangu kitovu chake kimevimba mbele kidogo,madaktari walinambia hakina shida ipo siku kitakaa sawa lakini naona kama siamini hivi ingawa mtoto haoneshi kuwa anapata maumivu yeyote...kuna mtu ashawahi patwa na hili na alitatuaje?
Mkuu huu ushauri umeutoa kwa weredi maana ndio fani yako.Mfunge shilingi tano na plasta kitarudi...
Ni kweli nilisikia hilo piaUnajua ndio tiba pekee ya kukirudisha kitovu ndani
Nilishafanya akasema hana tatizo. Ila nitarudi tena maana I wish nikirudi akiwa ananikimbilia asema.Ni kawaida kuna baadhi ya watoto huchelewa hata kutembea kutokana na sababu mbalimbali ila kwa ushauri zaidi wasiliana na daktari bingwa wa watoto
So hata mpaka miaka mitatu hakuna tatizo?Subiri atimize miaka 3 tafadhali, usije ukaenda akaanza kupewa midawa ya kizungu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mada haitamilika kama tutaacha hii kitu bila kukumbushana.View attachment 910017
Ni ngumu kufanya predictions lakini binafsi nakushauri muogeshee na maji yaliyochanganywa na chumvi kidogo... Chumvi ni tiba nzuri kwa nguvu hasi zote... Na mojawapo ya vitu vinavyomfanya mtoto alie ama astukestuke usingizini ni hizo nguvu hasiHabarini zenu wakuu? Nina mtoto ana umri Wa miezi 5, tatizo mtoto huyu akilala anakua analia ( akiwa usingizini) hii husababishwa na nini au ni hali ya ukuaji? Naombeni maoni na ushauri juu ya hili