Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Mwanangu kitovu chake kimevimba mbele kidogo,madaktari walinambia hakina shida ipo siku kitakaa sawa lakini naona kama siamini hivi ingawa mtoto haoneshi kuwa anapata maumivu yeyote...kuna mtu ashawahi patwa na hili na alitatuaje?