Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Namna gani nzur kuagana na mtoto wakat wa kwenda kazini? Huwa Analia sana.
Jitahidi kila unapoondoka uwe unamuaga kila siku na aridhike.hata kuwa analia tena .na kama anakaa na mtu sahihi ..atakuwa anakuaga fresh
 
Exactly [emoji817][emoji419][emoji625]
Jitahidi kila unapoondoka uwe unamuaga kila siku na aridhike.hata kuwa analia tena .na kama anakaa na mtu sahihi ..atakuwa anakuaga fresh

Jr[emoji769]
 
Maziwa ya mama yakiwa mepesi mtoto hawezi kushiba na kama hajashiba hataweza kulala vizuri.
Mtoto akishiba vizuri analala sana
 
Mungu Wangu baby wangu anatumia pampas, isije ikampata.japo huwa namuomba anayebaki nae mchana amshindishe na kptula tu.ila sidhani.mimi kama mzazi nakerwa sana nikisikia mda wote alimvalisha pampers
Kuwa makini
 
Ooh ok... Hili sidhani kama lina ukweli... Mimba haiwezi kugeuka tofali kwa ajili ya kula udongo
Kuna viudongo ivi wanawake wenye mimba wanapenda kula sijui huko dar vinaitwaje...huku vinaitwa pemba

Jr[emoji769]
 
I agreed.
 
Calcium most likely imepungua hivyo mifupa ni dhaifu na pengine ana uzito mkubwa... Tafadhali wasiliana na dr bingwa wa watoto kwa ushauri zaidi
Mtoto wangu ameanza kutembea mwezi mmoja uliopita ila naona ana utege sana.msaada tafadhali kuhusiana na njia ya kuzuia hii hali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Hahahaa ana umri gani

Jr[emoji769]
Mshana Jr
Hebu nisaidie mawazo.
Mwanagu anapungua tu
sijui hata sababu.kuna mtu niliongea nae ni ndugu yangu
Akanambia
.kwa nini usimtafutie mtoto kinga yoyote.

Tokea amezaliwa hana kinga yoyote huwa mamwombea tu.
Nikawa tu nipo njia panda.
Sijajua dogo anakonda sababu ya utundu wake au, na ni mzima tu wa afya.
Msaada please
 
Achana kabisa na ishu za kinga nakushauri mtegemee Mungu tuu... Sana sana mwogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo inatosha kabisa
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…