Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Achana kabisa na ishu za kinga nakushauri mtegemee Mungu tuu... Sana sana mwogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo inatosha kabisa

Jr[emoji769]
Asante sana.
Huwa namwogesheaga ngoja nizidi kumwogeshea..
Na kuzidi kumwomba MUNGU.
Ubarikiwe mkuu
 
still looking, nalea kwa mara ya kwanza na nipo so proud.

nacheka tu hapa katoto kana miezi tisa.. kananifanya bize adi nachoka na kulala hoi.
 
still looking, nalea kwa mara ya kwanza na nipo so proud.

nacheka tu hapa katoto kana miezi tisa.. kananifanya bize adi nachoka na kulala hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
8M8m776
Code:

9288

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo langu ni kwamba mtoto wangu kazaliwa tarehe 8 mpaka leo tarehe 11 upatikanaji wa maziwa kwa mke wangu ni mdogo sana ,JE NINI SULUHISHO LA MAMA WATOTO ILI ATOE MAZIWA HARAKA? mshana jr
Japo kuwa ulizo swali, linamda mrefu Sana. Nalijibu for the purpose of Education,

Huku kwetu, tunatumia mbegu za maboga tunaziita 'tetere' Zinasagwa mama anakoroga uji anachanganya na huu unga wa tetere. Ni siku tatu tu, maziwa yanayotoka hutaamini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuanza naomba nijue ni umri upi sahihi kwa mtoto kuanza kujitegemea katika kujitawaza mwenyewe baada ya kujisaidia?(iwe kwa maji au toilet paper)

Hapa lengo ni kujua kwamba iwapo ataanza kujitawaza mwenyewe aweze kujisafisha kwa uhakika kwani tofauti na hapo inaweza kupelekea kupata magonjwa ya Mara kwa Mara kama UTI(hasa watoto wa kike)na pia magonjwa ya tumbo kama hatanawa mikono vizuri.

Nasubiri uzoefu,

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na makuzi.. Wengine akili hukomaa na kushika vitu haraka... Lakini si chini ya miaka mine na si juu ya miaka mitano

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…