Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

hp ni mtihani kwa kweli
 
Ni kweli, aliyekuwa g/f wangu wa mwanzo alisimamia sana point hiyo(atajifungua kwa njia ya upasuaji) kwasababu tu anaogopa eti maumbile yake yataharibika ikiwa atajifungua kwa njia ya kawaida, kila mtu alishika zake baada ya msimamo wake kuwa mkali
poor mind thinking.. pole yake lkn
 
Msaada wazazi wenzangu
Mwanangu wa miaka 7 analalamika kidudu chake kinauma na kweli huwa kinasimama kwa muda mrf na mara kwa mara. Je hili ni tatizo? Hulalamika kinauma na ukimwangalia unakuta kimesimama sana na inachukua dkk kadhaa kulala. Plz nawaza labda ukubwani itamletea tatizo
 
Ameshapata tohara? Korodani ukiziminya zikoje? Kinasimama muda gani?
 
Mpeleke hospital usikae na wasiwasi. Inaweza ikawa tatizo au Sio tatizo uhakika utaupata huko
 
Ameshapata tohara
Ziko kawaida tuu japo kuna muda zinanyweaaaa
kiinaweza simama dkk 2 mpk 5
Kusinyaa ni kawaida
Kusimama dede alfajiri ni ada na hiki ndio kipimo cha urijali ama ukhanithi wa mtoto...tofauti na hapo kinaweza kusimama kwa mara zisizozidi tano kwa siku nzima (kusimama bila kichokoo)
Kama kusimama huko kunampa maumivu kuna tatizo kwenye njia ya mkojo mostly infection
 
Asante mkuu. Nadhani hili linaweza kuwa tatizo maybe. Nimepata mwanga. Halafu naomba unijuze kidogo nina mwingie wa mwaka mmoja ila yy kusimama kwake ni kwa udhaifu sana asubui siioni au kwa sbb anakua amevaa diaper?
 
Asante mkuu. Nadhani hili linaweza kuwa tatizo maybe. Nimepata mwanga. Halafu naomba unijuze kidogo nina mwingie wa mwaka mmoja ila yy kusimama kwake ni kwa udhaifu sana asubui siioni au kwa sbb anakua amevaa diaper?
Ziepuke diaper kabisa sio nzuri hasa kwa watoto wa kiume ...unaweza kuepuka mikojo lakini athari ni kubwa zaidi
Kama itabidi kulala nayo hakikishs alfajiri unamvua ili uweze kufanya monitoring. Diapers zinazoofisha makuzi ya msuli
 
Ziepuke diaper kabisa sio nzuri hasa kwa watoto wa kiume ...unaweza kuepuka mikojo lakini athari ni kubwa zaidi
Kama itabidi kulala nayo hakikishs alfajiri unamvua ili uweze kufanya monitoring. Diapers zinazoofisha makuzi ya msuli
Sawa asante mkuu ubarikiwe.
 
Mpelelezi kwa daktari afanyiwe uchunguzi zaidi ukiwahi mapema itaacha na maumivu hayata rudi tena
 
Hii ni kweli kabisaa yani... Tunapaswa kuwa makini sana
 

TAKWIMU: VIFO VYA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO VIMEPUNGUA NCHINI​



Kwa mujibu wa Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021, katika kipengele C cha utekelezaji wa majukumu ya idara kuu ya afya (fungu 52) huduma za Chanjo kutokana na huduma za Chanjo zilizotolewa na Serikali kutoka Mwaka 2015/2016 Mpaka Mwaka 2019/2020 zimeleta matokeo ya kupunguza vifo vya watoto walio chini ya Umri wa miaka 5.

Hii ni kulingana na takwimu zinazokusanywa na Wizara kutoka katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.

Jedwali hili linafafanua vifo vilivyopungua kwa kuonesha umri wa watoto.
UMRIVIFO VYA MWAKA 2015/2020.VIFO VYA MWAKA 2019/2020.VIZAZI HAI.
0 - 14391,000
1 - 567111,000
Chanzo: Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021.
 
Chanzo: Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021.[emoji3064][emoji3064][emoji3064]sorry to say this but sometimes hizi report hazina uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…