Kwa wazee wa mikeka

Kwa wazee wa mikeka

Kuna kitabu kimeandikwa na waisrael ,ila kimkubeikwa kwa kiarabu ,kila elimu nzima ya kubet madukani huuzwa elfu NNE ,jina lake huitwa ( abuu maashara) hupatikana maduka ya vitabu kiarabu ,ataenunua nipo radhi kuanza mfundisha ,ahsanteni
Unatuvuruga zaidi
 
Mimi natafuta anayeuza odds tu
Kuna kamanda wangu mmoja alituuzia sana back old days na mnalipana baada ya kushinda sema cku hiz ka staafu kwenye huu utumwa

Kwa kweli niko sambamba na wewe na mim namtafuta wa kuuza odds jaman nmechoka kupasuka khaaa[emoji28][emoji1487]
 
Back
Top Bottom