Kwa wazoefu wa biashara za nchini China

mhhhhh

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
240
Reaction score
126
Naomba kusafishwa namna mtu anaweza kuafika katika maduka ya nguo pamoja na viatu nakuja kuuza Tz. Unatakiwa kuwa na angalau sh ngapi kwa ajili ya safari, malazi na manunuzi ya mzigo. Anayefaham anijuze tafadhali
 
Ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…