Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pmNaomba kusafishwa namna mtu anaweza kuafika katika maduka ya nguo pamoja na viatu nakuja kuuza Tz. Unatakiwa kuwa na angalau sh ngapi kwa ajili ya safari, malazi na manunuzi ya mzigo. Anayefaham anijuze tafadhali
Weka hapa mkuu kila mmoja afaidi.Ni pm