pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Kuna gari aina ya toyota nadia ya 2007 cc 1900 mileage 97000 inauzwa $306 iko Yokohama. nikiagiza mpaka naichukua bandarini Dar itanigharim tsh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa udenda unavyokutoka sitashangaa ikipigwa mnada bandarini (ikiwa utaingia kichwa kichwa)Kuna gari aina ya toyota nadia ya 2007 cc 1900 mileage 97000 inauzwa $306 iko Yokohama. nikiagiza mpaka naichukua bandarini Dar itanigharim tsh ngapi?
Ndo maana nikaomba kujua gharama yakeKwa udenda unavyokutoka sitashangaa ikipigwa mnada bandarini (ikiwa utaingia kichwa kichwa)
Kama ipo chini ya Beforward,andika namba ya hiyo Gari,huanza na bf....(namba),nenda ofisi za beforward Tanzania, halafu watakufanyia mahesabu kujua mpaka ulipate mikononi itakugharimu shilingi ngapi,maana hapo,kuna Malipo ya kununua gari$306,halafu,shipping fee,kodin.k,,Malipo ya hao beforward ya kukusaidia kukuagizia Gari,ila,nenda ofisi zao, watakujibu maswali yakoKuna gari aina ya toyota nadia ya 2007 cc 1900 mileage 97000 inauzwa $306 iko Yokohama. nikiagiza mpaka naichukua bandarini Dar itanigharim tsh ngapi?
AsanteKama ipo chini ya Beforward,andika namba ya hiyo Gari,huanza na bf....(namba),nenda ofisi za beforward Tanzania, halafu watakufanyia mahesabu kujua mpaka ulipate mikononi itakugharimu shilingi ngapi,maana hapo,kuna Malipo ya kununua gari$306,halafu,shipping fee,kodin.k,,Malipo ya hao beforward ya kukusaidia kukuagizia Gari,ila,nenda ofisi zao, watakujibu maswali yako
thanks mr. dkashomboUshuru wake ni huo
Na hapo anaweza kufanya nao mazungumzo bei ikashuka hadi 1500Nafikiri ni hy ni toleo la 2000 sio 2007 cif yake to dar ni $1713
Hivi ni Elimu gani inayotolewa kwenye vyuo vyetu...Siku zote kodi ya gari lazima izidi gharama ya manunuzi ya gari
Kwanini kodi lazima iwe mara mbili.???Siku zote kodi ya gari lazima izidi gharama ya manunuzi ya gari
Inakua mara mbil kwasababu tuna import na kwakua cc hatuna vwanda vya magar kwaio pato la kumilk tu gar ndan ya nchi inakua kama lmetengezewa apa na bila kufanya ivyo Pangekua dampo kila mwenye Ml1 angekua na gar apa mjinKwanini kodi lazima iwe mara mbili.???
zaid ya mara mbili mbona nje kuna gari hadi za laki 5 inamaana ikifikahapa inakua mil 1...?Ni Mara Mbili ya bei ya gari ukinunua Kwa mfano 3000$ zidisha mara2 hapo kama hawajauplift