mussa_king
New Member
- Nov 20, 2016
- 2
- 0
Maana mi nilinunua Lexus IS 200 kwa $1000 kuisafirisha $1000 Total duty TRA 6150000 the nikaripa on time but ilipo fika wakati ilipo fika wakati tuna wa port hapo ndipo heart attack ilipo anzia mpaka mwisho wa siku nilijikuta nimegaramia total amount kuanzia manunuzi mpaka gari kua barabarani tshs mil 12600000, wakati kabra sijaripia nilifanya reach na kupata ushauli kutoka kwa wataramu mambo hayo kila total cost ilikua inaangukia kwenye mil 8500000 but the end of day nilijikua nimelipipa kumi na mbili na ushee mwaweza niambia tatizo liko wapi?