Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Tumia cement inayotoka pakistani,au cement ya Lucky,izo ni cement nzuri mkuu,
Wadau naomba Msaada pls nataka kuanza ujenzi wa Msingi(Foundation)Mafundi wananichanganya sana,ipi Cement bora kati ya Rhino ya Dar,Tembo Cement ya Mbeya Na Twiga Cement ya Tanga?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kama haujengi daraja au jengo kubwa complicated cement zote hizo ziko poa. Angalia tu bei na urahisi wa kuzipata.
Wadau naomba Msaada pls nataka kuanza ujenzi wa Msingi(Foundation)Mafundi wananichanganya sana,ipi Cement bora kati ya Rhino ya Dar,Tembo Cement ya Mbeya Na Twiga Cement ya Tanga?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
kwa ajili ya msingi tafuta cement yenye hizi namba kwenye mfuko :42.5 N au 42.5R. Plaster ni Namba 32.5N au 32.5R
zote ni nzuri kwa kujengea,
Kwa plaster Twiga ni best, Rhino inasumbua