Kwa wazoefu wa Ujenzi ipi Cement bora kati ya Rhino,Tembo na Twiga Cement?

Kwa wazoefu wa Ujenzi ipi Cement bora kati ya Rhino,Tembo na Twiga Cement?

Tembo cement ni imara sana, nakushauri utumie tembo. Saruji za nje sina imani nazo
 
Fundi wangu alinishauri Lucky cement... na kweli iko poa sana
 
Cement ya nje kama Lucky,SoL ya mchina Nzuri sana.Tanzania sasa kuna Twiga,Rhino,Tembo,Simba na Nyati pia camel cement zote bomu
 
Cement ya nje kama Lucky,SoL ya mchina Nzuri sana.Tanzania sasa kuna Twiga,Rhino,Tembo,Simba na Nyati pia camel cement zote bomu

Acha kupotosha watu unajua kuna aina ngapi za cement? na mwenye mada kauluza nini for your information ubora wa cement unategemea na aina ya cement na matumizi yaliyo kusudiwa
 
SIMBA NA TEMBO ZIKO POA SANA.
Nyati ni cement mpya inatengenezwa na lake cement dar hiyo sijui ubora wake labda ujaribu uje utuambie.
 
Cement zote ni portland cement zinafaa kwa ujenzi wa majengo hapa tanganyika
 
Wadau naomba Msaada pls nataka kuanza ujenzi wa Msingi(Foundation)Mafundi wananichanganya sana,ipi Cement bora kati ya Rhino ya Dar,Tembo Cement ya Mbeya Na Twiga Cement ya Tanga?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nilipo kuwa najenga Makazi yangu mafundi walishauri ninunue Cement kutoka Pakistan
 
Back
Top Bottom