Cloud Computing
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 334
- 85
Lucky cementTumia Cement ya Pakistani
Cement ya nje kama Lucky,SoL ya mchina Nzuri sana.Tanzania sasa kuna Twiga,Rhino,Tembo,Simba na Nyati pia camel cement zote bomu
Aksante mkuu Bulldog kwa kunikumbuka.Sio za Mkuu lucky sabasaba?
kweli jamii forum ni zaidi niijuavyo yaani kila swali liulizwalo jibu halikosekani.
kwa ajili ya msingi tafuta cement yenye hizi namba kwenye mfuko :42.5 N au 42.5R. Plaster ni Namba 32.5N au 32.5R
Aksante mkuu Bulldog kwa kunikumbuka.
Wadau naomba Msaada pls nataka kuanza ujenzi wa Msingi(Foundation)Mafundi wananichanganya sana,ipi Cement bora kati ya Rhino ya Dar,Tembo Cement ya Mbeya Na Twiga Cement ya Tanga?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums