mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
kufanya multiple choice means kuchagua vitu vingi.Tumefanya multiple choice tu ya uovu, tumechagua ulevi, wizi au fornication ..uchawi tumekuachia wewe mkuu. π
Amua sasa, Tumefanya/Kwenye....kufanya multiple choice means kuchagua vitu vingi.
πMijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa.
Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo lazima nikufanye msukule ukalime mahindi katavi ndanindani.
Mnanikera sana mnao kataa kurogaTumefanya multiple choice tu ya uovu, tumechagua ulevi, wizi au fornication ..uchawi tumekuachia wewe mkuu. π
ππππ sheesh
ππππ
Mkuu unahitaji huduma ya maombi.Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa.
Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo lazima nikufanye msukule ukalime mahindi katavi ndanindani.
toa ushuhuda ankolUchawi upon real jamaa. Usiombee ukaingia kwenye 18 za wachawi.
Una uhakika? Hao ndio wabobezi.Mbona haya mambo hayapo kwa wazungu?
Wabobezi wapi wa jana tu huyoUna uhakika? Hao ndio wabobezi.
Uchawi upon real jamaa. Usiombee ukaingia kwenye 18 za w
Umenena vyema mkuuWabobezi wapi wa jana tu huyo