Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

Wanasema kuwa mchawi si lazima uwange usiku.😳🤣🤣🤣🤣
 
Uchawi ni kama dudu la kutisha linalovamia maisha ya mtu. Ukilipuuza basi dudu hilo litakunyonya kila kitu unachomiliki katika maisha yako. Lakini ukipambana nalo hata kama litachelewa kufa ila litaondoka mbele yako likiwa maiti au majeruhi.
 
Watu wengi hawaathiriwi na kinachoitwa uchawi, mara nyingi ni hofu, imani potofu, na mawazo ya mtu vinaweza kuwa na athari kubwa kuliko kile wanachodhani ni uchawi.
Nyie ndo mnaloga na kuumiza wenzenu usiku, halafu mchana mnakanusha uwepo wa uchawi na ulozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…