Kwa wembamba wako huo mie nikupeleke wapi?

Kwa wembamba wako huo mie nikupeleke wapi?

IMG_20241223_221748_137.jpg
 
Wakuu kwema?

Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.

Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.

Thread tayari.
Mkuu kitambi sio deal ispokuwa hata kama we ni Mwembamba jitajidi uwe na tunyama nyama.

Ukweli ni kuwa hakuna Mwanamke anapenda mwanaume mwenye mifupa imechomoza. Akikwambia anakupenda basi kuna kitu a akunyemelea tu.
 
Wakuu kwema?

Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.

Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.

Thread tayari.
Kuna Mwanaume akivua suluwali watu wote wanangalia chini.

Fanyeni mazoezi na kula vizuri sio mnaishia kuhonga tu.

Unayemhonga yeye ananenepa na kunawili wewe unazidi kukauka
 
Back
Top Bottom